Unapaswa kujua kwamba Viagra haiongezei libido au kushughulikia sababu za kisaikolojia zinazokusababishia uwezo mdogo wa kudinda.
Viagra (sildenafil) haikufanyi "udumu zaidi" moja kwa moja kwa maana ya kuchelewesha kumwaga au kuongeza muda wa kujamiiana.
Kazi yake ya msingi ni kuwasaidia...
Ndugu wapendwa habari za jioni hiii, nimekuja kwenu kutafuta kujuzwa kuhusu utumiaji wa dawa za kuongeza nguvu za kiume (viagra).
JUMANNE NA Jana nilipatwa na mshituko kwani nilikwenda kwenye mambos na mpenzi wangu wa siku zote na katika kuhitimisha mambo yetu kila kitu kilienda sawa kwenye...
Mwanzo nilidhani wanafumua sementi ili asubuhi waweke tiles au wanavunja ukuta, baadaye hali ikawa mara mbili ya ile ya awali, kama kweli watu wanatumia hayo madawa basi anayejiumiza ni mwanaume siyo aliyepaniwa, ndiyo maana tunakufa mapema kuliko wao
Wakuu, habari za muda.
Kuna hii dawa inaitwa Honeymoon for Men & Women.
Ni Vifurushi vya asali ambavyo unapewa unatakiwa umeze kimoja baada ya siku 3.
Nimeambiwa kabla ya hapo ilikua ni vidonge, sasa wameboresha wamevileta kama asali.
Kwa nini nimejua hii dawa. Ni hivi, hivi karibuni...
Hivi vidonge vya viagra,ukimeza na ukataka kuviua nguvu mwilini unatumia nini, nilikuwa na mechi ya ugenini leo,sindio nikameza vya gram50, aisee ni headache na kizunguzungu,nyuchi zitatuua wallah
Kaka yenu shetani kabla sijaoa nikajilipua kwa binti mmoja alikuwa anapenda sana ngono ,basi ile tabia yake ukianza naye siku hiyo mpaka kesho yake.
Nikawa na choka ikabidi nimfanyie ukatili ambao urusi na iran ujawai fanywa. Ujana sio mzuri bwana nikapata kibunda changu kipindi cha jakaya bado...
Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imesema inafanyia utafiti dawa za nguvu za kiume aina ya Viagra pamoja na kuwekea mkakati dawa zinazotumika kuzuia mimba aina ya P2 kwa lengo la kudhibiti uholela wa utumiaji wake.
Mkurugenzi wa TMDA, Adam Fimbo wakati amesema utumiaji holela wa dawa za...
Aisee ngono siku hizi imekuwa overrated kiukweli. How can someone just dare have an intercourse with two or more women at the same time after consuming Viagra and expect northing terrible to happen to them surely?
Leo mida ya asubuhi tumeshuhudia tukio la kushangaza Sana ambapo mwanaume mmoja...
Habari wanandugu, poleni na majukumu ya kila siku, wala siwapi faraja sababu najua tutapumzika kaburini[emoji28]
Kuna jambo limekua kama katabia siku hizi, watu wanakunywa virutubisho na vichocheo vya mwili sana yani katika kukuza ama kuactivate miili yao, naamini hata siku hizi mmekutana na...
Habari wakuu
Kiuhalisia namshukuru Mungu sana kwa kunitoa kwenya kifungo cha kupiga punyeto kilichodumu miaka (2011 - 2021)
Kiuhalisia safari ilikuwa nzuri hapo mwanzo na niliona ni hali ya kawaida tu mpaka pale nilipoanza kushindwa kumudu kitandani nikikutana na wanawake na hii imeshanitokea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.