Kama waafrika, tujivunie sana tamaduni na maadili yetu, mambo yanayoendelea huko duniani kwingine yanastaajabisha.
Mark Bryan ni Injinia, mume na baba wa watoto watatu. Anapenda kuvaa viatu virefu vya kike na sketi kwa sababu vinamvutia na anaamini vinampendeza. Mkewe na watoto wake wamemkubali...