viazi mviringo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cofee VS Potatoes (Kawaha ikilinganishwa na Viazi Mviringo)

    To determine whether coffee or potatoes are more profitable per acre in Tanzania based on a one-year output, assuming the farms receive the best services (optimal inputs, management, and market access), we need to compare their yields, costs, and revenues. Since I don’t have exact 2025 data for...
  2. B

    Faida za Biashara viazi mviringo

    Naombeni msaada jinsi ya kupata soko la viazi mviringo mkoan , Lakini pia gharama za usafirishaji kuja dar es salaam . Gharama zake zimekaaje . Naombeni msaada wa mawazo
  3. Kilimo cha mahindi na viazi mviringo cha kisasa huko Kilolo, Iringa

    Nimeona rafiki yangu mmoja niliyesoma naye Chuo Kikuu kule Morogoro ameweka hizi video zikionesha namna watu wanavyofanya Kilimo cha Mahindi na Viazi Mviringo lwa kitumia technologies ya kisasa nikasema nishare nanyi wana JF ili muwe inspired kama mimi nilivyokuwa inspired. Nimemuahidi Jamaa...
  4. Ugonjwa wa mnyauko wa majani ya viazi mviringo

    Wadau, naombeni kuuliza ugonjwa wa mnyauko wa majani ya viazi mviringo unasababishwa na nini na tiba gan iinahitajika?
  5. K

    Nimeuza 15000 kwa debe viazi mviringo shambani

    Bila shaka mko salama, Nina miaka 7 nalima viazi mviringo uku nyanda za juu kusini mkoa wa Iringa. Kwa miaka yote bei ya shambani ilikua inacheza sh 5000_8000 kwa debe shambani. Lakini ilipofika mwezi wa tano mwaka huu bei ilibadilika Sana na kufikia 15000. Wanunuzi wanatafuta kiazi mviringo...
  6. Kuna nini huko, mbona gunia la viazi Dar es Salaam ni laki 1?

    Tanzania tunashukuru Mungu kwa kuingia uchumi wa kati mpaka sasa gunia la viazi wanauza kuanzia 98.000 hadi 110.000 Tatizo ni uzalishaji mdogo kila mtu kawa machinga au tatizo ni madalali kujipangia bei zao wenyewe?
  7. Namna bora ya kupika pilau lenye mchanganyiko wa viazi mviringo ndani na njegere

    Nahitaji kuaandaa huo msosi, maelekezo tafadhali, na kipi niongeze humo ndani kunogesha pilau langu. Asanteni
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…