Maliasili wako tayari kudhulumu uhai wa mtu kisa Mkaa, Mamlaka zichukue hatua stahiki kinachoendelea Tabora sio haki, sio utaratibu. Mtu yupo Main Road kabeba gunia moja la mkaa na magunia mengine matatu ya mazao, Gari la Maliasili lina Overtake kwa kumgonga pembezoni ili kuchukua gunia moja la...