Habari Wanasheria mlioko humu,
Mimi nilijenga nyumba yangu maeneo yasiyo rasmi ( squatter) tangu mwaka 2014 na kuhamia , kipindi hicho hakuna barabara , umeme Wala maji.
Wanacnchi tulijichanga wenyewe na KULETA huduma MBALIMBALI kama vile barabara , maji na umeme na kipindi chote hicho...