Wakuu mko vyede?
Uchaguzi Mkuu unakuja 2025, tumeshaanza kuona vimbwanga, ukifika mwaka wenyewe wa uchaguzi itakuwa balaa. Sasa hivi wabunge ndio wanakumbuka kurudi majimboni kwao, sasa hivi ndio wanapiga picha na watu wa hali ya chini, sasa hivi ndio wanajifanya wanajua sana kutetea haki za...