Utafiti wa Sauti za Wananchi, Awamu ya 27 wa Aprili 2018 umebaini 55% ya wananchi wanaukubali utendaji wa Rais Magufuli tangu alipoingia madarakani 2015.
Kukubalika huku kumepungua kutoka 96% mwaka 2016 na 71% mwaka 2017
Kiwango cha kukubalika kwa Rais kimeshuka kutoka kwenye rekodi ya juu...