Hivi wakuu, ni sayansi au ni kitu gani au wana kipi special wendawazimu na vichaa, kiasi kwamba wanakula vyakula vibovu majalalani, lakin kamwe hawaumwi typhod fever wala cholera,
Jana nilikuwa Morogoro kule hospitali ya mkoa nikakutana na kichaa mmoja, yule kichaa tangu utoto wetu,mpaka sasa...