vichekesho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nigeria maudhui yao ya comedy za kuigiza ni ya kitoto sana

    Nigeria huwa wana content za comedy za kitoto sana, hazina ladha, English yao mbaya sana. Karibia content yao yote comedy siku zote ni kama ya walinzi wa getini wa bongo movies.
  2. Kiongozi wa Serikali ya JMT ambaye pia ni mgombea wa CCM akiwakilisha Serikali amepokea tuzo ya Bingwa wa Vichekesho Tanzania

    -
  3. Kiongozi wa Serikali ya JMT akiwakilisha Serikali amepokea tuzo ya Bingwa wa Vichekesho Tanzania

    Kiongozi mkuu wa Serikali ya watu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayeiwakilisha serikali ya watu wa Tanzania akipokea tuzo ya Bingwa wa vichekesho (Champion of comedy).Hongera serikali, Hongera Mheshimiwa kuwa Bingwa wa vichekesho.Tuendelee kucheka kwa pamoja! Modes naomba uzi huu...
  4. R

    Hivi vichekesho vya wahubiri wa kikriso sasa it is too much!

    Kuna kanisa lipo Njiro Arusha fungulia redio yao usikilize makelele ya huyo mhubiri. Huo ni ukristo au ulevi????
  5. Vichekesho ,CCM haina Makamu Mwenyekiti, wapo busy Kushupalia Lissu ashindwe.

    Heshima kwenu, CCM no sawa na mtu aliyeshindwa kulea na kuhudumia watoto wake, lakini anaomba kujitolea kumtunza Yatima IL Hali watoto wake wamemshinda. Angalia, Kipara kipya, Magonjwa Mtambuka,lakini na wana CCM kiujumla wanavyoshupalia kumponda Lissu,na kutamani Mbowe agombee na aendelee kuwa...
  6. Huu mfuko mdogo kwenye suruali nyingi za jeans huwa ni wa kazi gani haswa?

  7. Hii Nchi usikute ni Chanel ya vichekesho huko Mbinguni

    Kwa hisani ya ITV.
  8. Tofauti ya ulaya na bongo ni vichekesho sana

    Ulaya umri mdogo tu! Unakuwa maisha yako safi. Bongo umri mdogo upo darasani unasoma aina ya nomino ona utofauti ni vichekesho sana
  9. P

    SoC04 BASATA okoeni sanaa ya Tanzania

    Baraza la sanaa la Tanzania linahusika kwenye ukaguzi wa maudhui ya sanaa pamoja na utoaji wa hakimiliki ya kazi za sanaa za wasanii wa Tanzania. Baraza hili limekua likijitahidi kuhakikisha maudhui yanayowasilishwa kwenye jamii hayavunji maadili ya kitanzania kwa kufungia kazi za sanaa...
  10. Falsafa mpya inajengeka ndani ya nchi yetu. Ni kuhusu nchi yetu kuwa channel na FM ya vichekesho huko mbinguni.

    Kwema Wakuu! Natahadharisha! Ukiona jambo nalizungumzuia ujue tayari nimeshalipima. Lina uzito. Utani na mzahamzaha unaoendelea kwenye nchi yetu unaunda falsafa na mtazamo mpya juu ya kizazi kijacho katika taifa letu. Kujidharau Kujidunisha na kujiona sisi ni taifa la hivyo. Watu wetu ni...
  11. R

    Tujifurahishe kidogo na joke kutoka Nigeria

    A House girl asked her madam to increase her salary. The madam asked her to give 3 reasons why she needs her salary to be increased. HOUSE GIRL: I can cook better than you. MADAM: Who told you that? HOUSE GIRL: Your husband told me. MADAM: Okay, second reason....! HOUSE GIRL: I can iron...
  12. Vichekesho na aibu ya Bodi ya Ligi tuzo za mchezaji na kocha bora mwezi Mei

    Bodi ya ligi kuu Tanzania (TPLB) imetangaza kuwa Mchezaji wa mashujaa FC, Reliants Lusajo amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Mei ligi kuu Tanzania bara. Amewashinda wafuatao : ◉ Reliants Lusajo - ⚽ (5) ☑️ ◎ Stephane Aziz Ki - ⚽ (6) ◎ Feisal Salum - ⚽ (5) Pia bodi imetangaza kuwa, kocha...
  13. Yaani Man united ni vichekesho tu ona huyu

    I nashangaza unapoona watu wanaokusaidia unawatupa Huyu kijana anajitahidi na anacheza kwa kujituma. Unamuachiaje??
  14. Mbona takwimu za Mcolombia wa Azam zinatia uvivu?

    1. Hiyo Cortulua ipo ligi daraja la pili. 2. Cortulua walimsajili 2023 kutoka timu nyingine ya daraja la pili 3. Ameingia kwenyw mechi 10 tu mwaka 2023 na amefunga goli 1😎 4. 2022 amecheza mechi moja na Calabobo, No goal 5. 2021 amecheza mechi 22 na R.Cartagena , akapata Goli 8 6. 2020...
  15. Lavelle Crawford: Mchekeshaji anayetengeneza pesa kwa kurudia vichekesho vilevile!

    Lavelle Crawford ni stand up comedian and actor kutoka nchini Marekani. One thing I like about this guy is that tangu aanze kufanya stand up comedian kwa zaidi ya miaka 20 sasa kila akipanda jukwaani anatoa vichekesho vile vile. Yet, promoters keep on booking him and he makes money off it...
  16. Wasanii wa vichekesho wakamatwa kwa kuweka maudhui youtube bila kusajiliwa na bodi ya filamu

    Waigizaji wa vichekesho maarufu kama, Kicheche na Clam wamekamatwa kwa kosa la kukiuka Sheria ya Bodi ya Filamu ikiwemo kurusha maudhui pasipo kusajiliwa. Kwa mujibu wa bodi hiyo, wasanii hao wameitwa mara kadhaa kupeleka kazi zao ili kuhakikiwa na kupewa vibali vya kufanya shughuli za uigizaji...
  17. Vichekesho (Special thread)

    jamaa flani alienda kwenye kibanda cha mama ntilie akaagizia chipsi na mayai. mama ntilie wakati anamuekea akamuuliza"vipi nizichanganye???" jamaa kwa kujifanya anajua kiingereza akajibu"YEAH COMFUSE THEM.."
  18. Serikali: Januari 31, 2025 ni mwisho wa kutumia mkaa na kuni

    Deadline hiyo imetangazwa na Waziri wa Mazingira Suleimani Jafo. Baada ya January 31, 2024 taasisi zote za Umma na Binafsi ni marufuku kupikia kwa kutumia mkaa na kuni. Aidha Serikali imesema inataka kufikia 2030 Asilimia 80% ya Watanzania wote wawe wanatumia Nishati safi ya kupikia. Pia soma...
  19. TTCL inadai Tsh Bilioni 21 ila haijui inayemdai

    Hawa watu sijui ni wanamdharau mama au ni nini hiki? Yani inawezekanaje usimjue mdeni wako? -- Ukaguzi wa CAG umebaini TTCL ina madeni makubwa ya TZS bilioni 21, lakini uongozi haukuweza kutambua wadaiwa husika. Shirika hilo limetoa pendekezo kwa bodi kufuta deni la bilioni 7.51.
  20. Kicheche -Msanii wa Vichekesho

    Wasalaam Wakuu. Kila leo ubunifu wa aina mbalimbali jinsi wasanii wanavyowasilisha kazi zao kwa hadhira inazidi kuongezeka. Kuna Msanii maarufu kwa jina la 'Kicheche', ana namna yake ya kipekee ya uwasilishaji. Kiukweli anajitahidi sana na watu wengi wanamuelewa. Amefanya aina nyingi za kazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…