Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ambaye pia ni mgombea pekee wa Ubunge Jimbo la Tanga Mjini, Leo Septemba 2 ameshirikiana na mgombea wa Ubunge Jimbo la Muheza, Hamis Mwinjuma au Mwana F.A katika kampeni mkoani Tanga
Katika kampeni hiyo, Ummy ameahidi kushirikiana na Mwana FA kumuonesha kote kwa...