Umri umeenda, upara umeanza kuninyemelea, naamini ni jambo la kawaida, sasa leo nimekutana na jamaa tulisoma nae, alikuwa na vijiakili vya darasani sasa amekuwa daktari wa binadamu.
Baada ya kuniona akaniambia natakiwa niache punyeto maana inanizeesha, aloo hasira zilipanda kidogo nimrukie...