Victim Card Strategy ni nini?
Victim Card Strategy (mbinu ya kujifanya mwathirika) ni mbinu ambapo mtu au kundi la watu hujifanya kuwa waathirika wa hali fulani au mazingira, kwa lengo la kupata huruma, uungwaji mkono, au kuepuka lawama.
KWA NINI IRAN HAIWEZI KUSHAMBULIWA NA MAREKANI NA...