Mkuu wa Wilaya ya Lindi- Victoria Mwanziva ameendelea na ziara ya Kata kwa Kata katika Wilaya ya Lindi; na ziara hii inafanya ukaguzi wa miradi ya maendeleo na imetoa uwanda mpana wa kusikiliza na kutatua changamoto za wananchi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi...
Ikiwa ni siku moja baada ya ya Mkuu wa wilaya ya lindi Victoria mwanziva kuwataka madereva wanaoendesha magari ya abiria stendi kuu ya lindi wawe watulivu na kuendelea kufanya kazi zao za kusafirisha abiria baada ya kugoma siku nzima ya jana, leo Januari 9 madereva wameanza kusafirisha abiria...
Mkuu wa Wilaya ya Ludewa, Mhe. Victoria Mwanziva amefanya ziara ya kimkakati ya ukaguzi wa Miradi ya Maji Wilayani Ludewa.
Akitembelea miradi mbalimbali DC Victoria amesema kuwa Lengo la ziara hii ni kuhakikisha kuwa Wana-Ludewa wanapata huduma ya Maji bora, safi, salama na yenye kutosheleza...
DC VICTORIA MWANZIVA - MIAKA MIWILI YA RAIS MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN NDANI YA WILAYA YA LUDEWA
Mkuu wa Wilaya ya Ludewa, Victoria Mwanziva amesema; kwa hakika Miaka Miwili imekuwa ya Neema na Baraka tele kwa Wana-Ludewa, kwani Rais Samia amekuwa akiitazama Wilaya kwa jicho la upekee sana...
VICTORIA MWANZIVA AWAPONGEZA VIJANA WENZAKE KWA KUSHIRIKI UCHAGUZI NDANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI
Hongereni sana Vijana wenzangu wote ambao kwanza; mmeshiriki mchakato wa uchaguzi ndani ya Chama Cha Mapinduzi. Nawapongeza kwa uthubutu wenu; Nawapongeza kwa utayari wenu wa kuhudumia Vijana wenzenu...
📍 DODOMA
Bungeni 26/05/2022
Mheshimiwa Spika Dkt Tulia Ackson akitambulisha wageni wake ambao ni Vijana wa Kitanzania wanaotarajiwa kwenda nchini Marekani mwezi ujao (June 2022) kwa mafunzo maalumu ya YALI Mandela Washington Fellowship 2022.
Vijana hawa watawakilisha Tanzania katika programu...
KATIBU WA UHAMASISHAJI NA CHIPUKIZI UVCCM TAIFA CDE. VICTORIA MWANZIVA AKUTANA NA WAHAMASISHAJI UVCCM NGAZI YA TAWI
27.03.2022 - Dar-Es-Salaam
Katibu wa Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa Cde. Victoria Mwanziva ashiriki Darasa la itikadi Tawi la UVCCM Msakuzi Mashariki - Kata ya Mbezi -...
Chuo Cha kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (Kigamboni Dar es salaam)
Wanafunzi na Mitandao ya Kijamii
Kongamano Maalum la Wanafunzi na Mitandao ya Kijamii- limefanyika Chuo Cha mwalimu Nyerere Dar es Salaam ambapo Katibu Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa, Cde Victoria Mwanziva alikua mgeni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.