Serikali ya Equatorial Guinea imeminya Mtandao wa Whatsapp Nchini humo ili Raia wake wasiweze kupakua (ku-download) na kusambaza picha pamoja na video kwa kutumia Whatsapp, kufuatia kashfa ya ngono inayomuhusisha Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kitaifa la Uchunguzi wa Fedha Nchini humo, Baltasar...