Nchini Rwanda, wasichana sita na mwanaume mmoja wamekamatwa na Kitengo cha kuchunguza uhalifu - RIB kwa tuhuma za kuchapisha video za utupu mitandaoni.
Video ya mrembo mmoja anayeitwa Kwizera Emelyne ilisambaa mitandaoni akionekana akifanya vitendo vya ngono, vinavyochukuliwa kama utovu mkubwa...