Mambo vp wakuu,
Nafahamu sekra uliyopo au kazi unayofanya au biashara unayofanya utahitaji moja ya huduma hizi nitakazo zitaja hapa ππ
DOCOMENTARY(MAKALA)
Na produce, direct na kushoot documentary nzuri na za kuvutia.
Kwa taasisi na mashirika ya serikali na yasio ya serikali huwa zinafanya...