Hii shida ilianza taratibu mwezi wa 12 mwanzoni ilianzia kwenye ncha za videle vya mkono. Nilijua itapona yenyewe ila sioni dalili.
Wiki moja iliyopita naona ni kama inahamia kwenye nyayo na vidole vya mguu.
Nilienda hospital, wakafanya full blood picture, cholesterol, sugar, urinalysis n.k...