vidonda vya tumbo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Vidonda vya tumbo

    Nianze na kuwasalimu wakuu, pia niende moja kwa moja kuwasilisha jambo, wakuu vidonda vya tumbo vinanisumbua mno aliyepona ametumia dawa gani ,,, msaada wenu wakubwa
  2. SI KWELI Maziwa fresh ni tiba sahihi ya tatizo la vidonda vya tumbo

    Vidonda vya tumbo ni tatizo linalosumbua watu wengi. Husababisha maumivu makali sana, kiasi cha kufanya liwe tatizo lisilovumilika kirahisi. Katika kutafuta tiba, baadhi ya watu hutumia dawa za hospitalini, huku baadhi wakitumia dawa za asili. Pia, maziwa ni miongoni mwa dawa zinazo...
  3. Swali la kujiuliza kwa mtu yeyote mwenye vidonda vya tumbo

    Zamani iliaminika kuwa vidonda vya tumbo vinasababishwa na mawazo. Baadaye zikaja stori za Helicobacter pyrori kidudu ambacho kipo kwa karibia 80% ya watu. Ipo hivi; Kidonda chochote ukiumia inatakiwa upone. Kiasili kiumbe huwa anapona pale anapokuwa mazingira ya kupumzika. Resting. Je ndugu...
  4. B

    Nasumbuka sana wakuu mwenye kujua Tiba ya vidonda vya tumbo anijuze

    Nitangulize salam kwanza kwa ndugu wote wana jamii forum, kama kichwa cha Habari hapo juu kinavoeleza, ninasumbuliwa na vidonda vya tumbo huu mwaka wa 6 naomba kwa yoyote anayefaham dawa au ameshatumia dawa amepona anifahamishe na mimi niondokane na hiii karaha, , nipo mwanza, natanguliza...
  5. B

    Dawa ya Vidonda vya tumbo kwa ambaye amepona au anayeifahamu

    Nitangulize salam kwanza kwa ndugu wote wana jamii forum, kama kichwa cha Habari hapo juu kinavoeleza, ninasumbuliwa na vidonda vya tumbo huu mwaka wa 6 naomba kwa yoyote anayefaham dawa au ameshatumia dawa amepona anifahamishe na mimi niondokane na hiii karaha, , nipo mwanza, natanguliza...
  6. Ulitumia dawa gani kutibu vidonda vya tumbo?

    Vidonda vya tumbo ni moja ya magonjwa yanotusumbua sana miongoni mwetu na hii siyo Tanzania tu ni dunia nzima. Naleta huu uzi kwa maana wanasema sharing problem is half way of solving it. Hivyo bas wenye mlishawahi kuwa na changamoto kama hii na mkapata matibabu, naomba mshare namna...
  7. Tatizo la Vidonda ya tumbo

    Vidonda vya tumbo ni michubuko inayotokea kwenye kuta za mfumo wa chakula, hasa kwenye sehemu ya tumbo au pia sehemu ya kwanza ya utumbo mdogo. Ukubwa wa vidonda hivi hutofautiana, kuanzia millimita chache hadi sentimita kadhaa. Dalili za ugonjwa huu mara nyingi hutegemea umri pamoja na eneo...
  8. JITIBU Kisukari, Shinikizo la damu, Arthritis, Vidonda vya tumbo nk kwa dawa hii

    WATER THERAPY Faida zake; Utaondokana na changamoto zifuatazo: 1. Uzito usiotakiwa 2. uchovu kwa wakati usiostahili 3. kutopata usingizi kwa wakati muafaka wa kulala 4. Maumivu sugu ya Tumbo, Kichwa, viungo nk 5. kupunguza Tumbo/ Kitambi 6. Cancer, Kisukari, asthma, Shinikizo la damu( la juu...
  9. Majani ya kutibu vidonda vya tumbo

    Kulingana na andiko fulani lililoita liliezea kuhusu haya majani au mnaweza kutafta na kusoma tena maana me niliwapa ahadi ya kuyatafuta ktk mizungoko yangu nimefanyikiwa kuyaona japo ni machache kidogo kwa mwenye uhitaji twaweza wasiliana DM ataweza yasafirisha vipi yako ngara kagera na niko...
  10. Msaada Hospital nzuri kwa kutibu vidonda vya tumbo Dar, vitaniua jamani

    Msaada Wana jf yaani hivi vidonda vitaniua jamani
  11. Je, vidonda vya tumbo vinasababisha hernia? Kuna dawa ya hernia bila upasuaji?

    Je, vidonda vya tumbo vinasababisha hernia? Na kuna dawa ya hernia without surgery
  12. Yajue haya majani ni dawa ya vidonda vya tumbo

    Habarini za jioni ya pasaka ndugu wana jamvi. Si mwandishi sana humu jamvini japo ni msomaji wa muda kidogo. Leo nimependa ku share jambo lilionipa msaada baada ya kuona watu wengi wamekuwa wakisumbuliwa na shida ya vidonda vya tumbo. Binafsi niliumwa na vidonda vya tumbo kwa miaka mitatu...
  13. Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    Habari za saa hizi wakuu, Niende kwenye mada husika. Nina mwaka wa tano naumwa sana tumbo na maumivu yakiwa yanahama sehemu mbalimbali za tumbo wakati mwingine kifuani, kwenye, mbavu na hata kiuno na nyonga. Nimetumia madawa mbalimbali sipati nafuu. Nimeshapima magonjwa kama yote. Nimejaza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…