Tanzania na Vietnam kuimarisha ushirikiano kwenye biashara, kilimo na uwekezaji
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo amekutana na kufanya mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Viet Nam, Mhe. Le Thi Thu Hang...
Taarifa za Damascus kuanguka mikononi mwa waasi zikiwa zinaendelea kusambaa na kusubiria kuthibitishwa rasmi wengi wameshangazwa na waasi wa Syria kuweza kufanikiwa kirahisi na kwa haraka sana dhidi ya utawala wa Bashar al-Assad
Hapa tunajifunza kwa vitendo pia kwamba majeshi ya Urusi, Iran na...
Huko Vietnam Sasa vita ilikuwa imezidi kuwa mtihani mkubwa zaidi kijeshi kuikumba nchi hiyo kubwa zaidi kijeshi Kwa miongo kadhaa.
Vijana wa Kimarekani walikuwa wakiangamia vibaya sio kwasababu hawakuwa bora kivita, walikuwa bora zaidi lakini hapo Vietnam walikuwa wamekutana na watu wasio na...
Zaidi ya watu 179 wamefariki dunia nchini Vietnam kufuatia maporomoko ya ardhi na mafuriko yaliyosababishwa na kimbunga Yagi.
Habari kutoka Vietnam zinasema watu wengine zaidi ya 140 hawajulikani walipo kufuatia janga hilo, na juhudi za kuwatafuta zinaendelea.
Kimbunga Yagi kinaelezwa kuwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,hii leo Jumatatu ikulu ya Dar amepokea hati za utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Vietnam Hapa Nchini.
Hii ni baada ya hapo jana kushiriki vyema katika sherehe za uapisho wa...
Marekani siku za hivi karibuni imekua kama mbwa koko kwa kulia lia kila mahala huku asiamini kinachoendelea baada kuzoea kutawala Dunia bila upinzani kwa miongo kadhaa, sasa ivi anaendeshwa kama gari bovu hana uwezo wa kutoa amri tena zaidi ya kubwekea bandani.. 😅😅
US condemns Vietnam for...
Maandamano yanayoambukizika ya vyuo vikuu maarufu nchini Marekani yameanza kuihofisha serikali kuu ya nchi hiyo.
Nguvu zimetumika kuwatawanya wanafunzi wa chuo kikuu cha Columbia baada ya spika wa bunge wa Marekani.bwana Johson kutembelea eneo hilo kuwataka watawanyike bila mafanikio...
Mwanamke mmoja wa Vietnam mfanyabiashara tajiri wa kutupwa anefanya biashara ya kuuza nyumba na majengo (Estate and property Developer) amehukumiwa kifo baada ya kupiga fedha kiasi cha dola bilioni 12.5
Katika kesi kubwa ya ufisadi na upigaji ilomkabili mwanamke huyo Truong My Lan, imedaiwa...
Africa kuna matatizo. Tena makubwa. Uchumi wa Vietnam ni mkubwa kuliko wa taifa lolote Africa. Wa Vietnam walikuwa kwenye Vita wee miaka ya sitini na sabini lakini sasahivi uchumi wao umepaa.
Africa tujitafakali. Angalia jiji la Hanoi, hakuna jiji kama hilo Africa. Hakuna cha Cairo, Lagos...
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Samwel Shelukindo amekutana kwa mazungumzo na Balozi wa Vietnam, nchini Mhe. Nguyen Nam Tien katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam, tarehe 9 Agosti 2023.
Viongozi hao wamejadili masuala mbalimbali ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.