Shambulio ambalo kawaida linaitwa la kigaidi lililofanywa na Israel nchini Lebanon lazima lituzindue na kutufanya tuanze ukaguzi wa kina wa vifaa vya kielektroniki vinavyoingia nchini. Je, kitengo hicho kipo TBS?
Kuanzia sasa, ni muhimu kwamba simu na betri zinazoingizwa nchini zifanyiwe...