Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma, amemtembelea Msanii Mkongwe Nchini Zahir Ally Zorro (Mzee Zorro) nyumbani kwake Kigamboni Dar es salaam jioni ya Novemba 9, 2024, na kumpatia msaada wa vifaa vya mazoezi ikiwa ni sehemu ya ahadi yake kwa Mzee Zorro aliyotoa siku chache...