Kila mwaka shule za Serikali huagiza wanafunzi wapya wanaoanza kujiunga na shule hizo kwenda na majembe, makwanja, reki, mafagio nk kama sehemu ya mahitaji ya vifaa vya kukamilisha wanaporipoti shuleni.
Swali langu ni kuwa huwa wanayapeleka wapi kila mwaka wanapokea mapya, angalau hata mafagio...