vifaru

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kiwanda cha vifaru Urusi chafunga shughuli na kufukuza wafanya kazi, hali mbaya

    Ndio kiwanda pekee kilichokua kimesalia cha kutengneza vifaru, jameni aliyemuingiza Putin kwenye huu mkenge haitokuja asamehewe. The only tank manufacturer in the Russian Federation – UralVagonZavod has partially suspended production, employees have been sent on unpaid leave and financial...
  2. Urusi waanza kutumia vifaru ya miaka ya 60s, wamepoteza idadi inayojumuisha mataifa kumi ya Afrika

    Hadi sasa Urusi wamepoteza zaidi ya vifary 1,500 na ili kupata picha ya hasara yote hiyo, waza kwamba JWTZ ya Tanzania, yaani jeshi la nchi yote Tanzania lina vifaru 156, hivyo hasara aliyoingia Urusi inaweza ikafyeka mataifa yote ya EAC na kati na mpaka ufike Afrika magharibi, licha ya hasara...
  3. Ujerumani nayo imeidanganya Ukraine kuahidi kupeleka vifaru vibovu

    Kila leo Ukraine inazidi kukandamizwa na marafiki zake.Ujerumani hapo mwanzoni mwa vita tarehe 24 Februari ilisema itaisaidia Ukraine kisilaha kwa kuipa vifaru vyake aina ya Gepard . Vifaru hivyo baada ya kusubiriwa muda mrefu bila kuwasili Kyiv hatimae imedhihirika kuwa vifaru hivyo havikuwa...
  4. N

    Mbinu bora za kivita: Russia and Ukraine war case

    Kuna kundi kubwa sana la watu ambao wanapenda kuona, kusoma na kusikia habari za uwanja wa medani hii inatokana na ukweli kuwa vita ndio jambo gumu sana kufanywa na mwanadamu. Katika dunia ya leo kila jambo lina taaluma yake hata vita pia ni taaluma pana inayohusisha mbinu, mikakati, silaha...
  5. Hizi hapa takwimu za hasara aliyopata Putin na Urusi, vifaru 684 vilifyekwa kwenye msafara

    Drones za Uturuki ni hatari sana, na ndio dunia inakoelekea, ujeda wa kukaa ofisini ukibonyeza bonyeza, sio ubabe wa kupasua matofali kwa kichwa. _____________ Ukraine’s Armed Forces reported that Russia also lost 684 tanks, 1,861 armored personnel carriers, 1,324 vehicles, 332 artillery...
  6. Kamanda, mkuu wa kikosi cha vifaru Urusi ajitoa uhai

    Hii ni baada ya kutathmini idadi ya vifaru kwenye hifadhi na kugundua vingi vimeibiwa "parts" na havipo tayari kwa shughuli huku vilivyo kwenye uwanja wa mapambano vimeliwa shaba na kupunguzwa pakubwa. Jamaa ameona isiwe tabu maana utamjibuje Putin na alivyokua chizi hashikiki wala kushaurika...
  7. Vita ya Ukraine na Urusi: Mwisho wa zama za vifaru umefika

    Ukraine anatembeza show ya kibabe, si ya nchi hii dhidi ya majeshi ya Urusi, ukweli ni kwamba Urusi imeshindwa vibaya kwenye ground war against a well organized Ukrainian defenders! Vifaru vya Urusi ambavyo vinaaminika ndo vifaru Bora kabisa duniani vinapukuchuliwa Kwa Kasi ya 5G huko Ukraine...
  8. Ufisadi Jeshi la Urusi waibuka ndio sababu ya magari na vifaru kupigwa na Ukraine

    Ufisadi Jeshi la Urusi waibuka ndio sababu ya magari na vifaru kupigwa na Ukraine Mchambuzi wa maswala ya kijeshi ya vifaa vya kivita akihojiwa na CNN amesema kuwa Urusi kila mwaka imekuwa ikitenga mabilioni ya dola kununua vifaa vya kivita, kutengeneza na spea Zake lakini pesa hizo zimekuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…