Siku za hivi karibuni kumekua na vifo vingi vinavyohusiana na saratani.
Mwaka jana tulizika ndugu yetu,mwanamke wa umri wa miaka 46 aliyekuwa anasumbuliwa na saratani,aliugu muda mrefu pamoja na maumivu makali.
Juzi kuna kijiji nilienda kuna mama mmoja namfahamu ni mama mtu mzima umri miaka 64...
Sisi wote binadamu Tubadilishane uzoefu mambo yafuatayo yanachukua watu zetu easy
1. Ajali, za magari, mitambo, umeme, gas,moto.
2. Pressure hio ndo zaidi
3. Mahoma homa ya maini na figo yamekuwa mengi.
4. Uwizi
5. Ugomvi wa wivu wa kimapenzi.