Ajali zinazotokea msimu wa sikukuu zimeendelea kuacha majonzi kwa Watanzania, baada ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu ofisi ya Msajili wa Hazina, Amos Nnko kufariki dunia.
Nnko amefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea maeneo ya Same, mkoani Kilimanjaro...
Takriban watu 78 wamefariki dunia, baada ya Meli kupinduka katika Ziwa Kivu, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo hapo jana.
Gavana wa Jimbo la Kivu Kusini Jean Jacques Purisi, amethibitisha taarifa hizo, na kuongeza kuwa watu 278 walikuwa wamepanda boti hiyo, kabla ya kupinduka...
Nepal imeanza maombolezo leo Jumatatu, Januari 16, 2023 siku moja baada ya Ndege kuanguka ilipokuwa ikijaribu kutua katika uwanja mpya, na kuua takriban watu 66 kati ya 72 waliokuwa ndani. Wafanyakazi wa uokoaji walilazimika kushuka katika korongo la mita 300 kwa ajili msako wa kuwatafuta watu...
Watumishi watatu wa TANESCO mkoa wa Manyara, Loren Materu, Emmanuel Thobias na Nassoro Mtime wamefariki dunia baada ya gari lao kugongwa la lori linaloaminika kuwa lilipata hitilafu kwenye breki.
Aidha, watu wengine watatu wamepelekwa hospitali baada ya kupata majeraha.
Swahili Times
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.