vifo vya bodaboda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwamuzi wa Tanzania

    Pre GE2025 CCM kabla hamjawatumia bodaboda kwenye kampeni za uchaguzi mkuu 2025 tunaomba mtoe takwimu za vifo vya bodaboda

    Leo tarehe 16 Januari 2025 muda huu tuko road kuelekea makaburini kumzika dogo mmoja mtoto wa dada ambaye alikufa kwa ajali ya pikipiki almaarufu bodaboda. Huyu kijana alikuwa bodaboda, jana kapata ajali Ubungo. Hili tatizo la vifo vya bodaboda halionekani kubwa kwakuwa hakuna gazeti, redio au...
  2. BLACK MOVEMENT

    Vifo 6 vya Bodaboda vinavyodaiwa kutokea kwenye Mashindano Arusha ni uzembe mkubwa sana, Waandaaji wanapaswa kuwajibishwa

    Huwa nasema kila siku humu, CCM mtaji wao mkuu namba moja ni Ujinga wa hili taifa na pili na umasikini. Bodaboda ni watu wanatumika kisiasa sana na kwa sababu ya kiwango chao cha juu cha ujinga walicho nacho hawajui kama wanatumika kiasiasa. Kule Arusha jumapili kulikuwa na mashindano ya...
  3. chizcom

    Majeruhi ajali za bodaboda tishio, MOI hupokea wagonjwa 280 kwa mwezi

    Dar es Salaam. Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) imekiri kupokea majeruhi wa ajali za bodaboda wastani wa watu 9 hadi 10 kwa siku ambapo ni sawa na 70 kwa wiki na 280 kwa mwezi. Akizungumza leo jijini Dar es Salaam kwenye mafunzo ya kimataifa ya matumizi...
Back
Top Bottom