vifo vya jiko la mkaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Njombe: Afariki ndani ya gari akiota moto kwenye jiko la mkaa

    Thadei Mbawala (48) mkazi wa mtaa wa Mji Mwema halmashauri ya mji wa Njombe ambaye ni dereva wa gari ya kampuni ya maji anadaiwa kufariki dunia ndani ya gari aliyokuwa amepaki nyumbani kwake pembeni kukiwa na jiko la mkaa huku milango ya gari ikiwa imefungwa. Kituo hiki kimefika nyumbani kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…