vifo vya wanasiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wako wapi wale wafuasi wa kile chama cha saisa cha kushangilia vifo vya wanasiasa, watu mashuhuri na waja wa Allah, walio na maoni tofauti na yao?

    Mbona mko kimya sana leo na hamuonekani kushangilia? Au muda wa kushangilia bado? Au pengine bado mungu wenu hajawapandisha mihemko na kuwapa ujasiri na furaha ya kushangilia kifo cha mwanasheria nguli na mdau wa siasa mashuhuri kilichotokea leo nchini? In fact, ni kitu nonsense sana...
  2. JamiiForums Tanzania Watanzania na kufurahia vifo vya wanasiasa, ja watawala wanajisikiaje?

    GTs, Naomba niandike kidogo sana. Kipindi anafariki Dkt Magufuli wengine tuliumia na kulia wengine walishangilia na kufanya sherehe. Mi nilichojifunza ukiwa shabiki wa mwanasiasa basi sikiliza watu wanasemaje then mshauri kiongozi wako hivyo hivyi kiuchawa asikilize watu maana akifa...
  3. JamiiForums Tanzania TANZIA Dkt. Shogo Mlozi, Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki afariki dunia

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson ametangaza kifo cha Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Dk Shogo Mlozi. Spika Tulia ametangaza kifo hicho leo Alhamisi June 13, 2024 kabla ya kuanza kwa kikao cha 46 cha mkutano wa 15 wa Bunge la 12 Bungeni Jijini Dodoma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…