vifo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Urusi: Makabila madogo yaongoza kwa kuwa na vifo vingi katika vita ya Ukraine

    Imeabainishwa kuwa minorities (makabila madogo) ndio wamekuwa wakifa zaidi hii inaashiria kuwa makabila hayo ndio walioorodheshwa kwa wingi. Hii inaashiria pia kuwa huenda Putin analenga kupunguza idadi yao kwa kuwa wengi wamepelekwa vitani bila kuwa na uzoefu. Mfano: Moscow [yenye watu...
  2. S

    Vifo barabara ya kijenge, nakuomba mkuu wa Mkoa ingilia kati

    Naandika kwa majonzi sana hawa ndugu zetu wa huku Arusha nao wamebahatika kuwekeawa lami mwaka huu japo ni nusu mradi kamili wa kuifikisha lami inapotakiwa kuishia bado aujakamilika. Lami hii sasa imekuwa ikileta huzuni baada ya furaha kwani waendesha bodaboda wa huu mtaa wameigeuza rami hii...
  3. Utafiti: Kupe wanachangia 65% ya vifo vya ng’ombe Tanzania

    Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Maabara ya Vetenari Tanzania, Dk Stella Bitanyi amesema asilimia 65 ya vifo vya ng'ombe vinasababishwa na mdudu kupe (ndorobo). Amesema mdudu huyo anayesababisha magonjwa makuu mawili, asilimia 80 kati ya vifo hivyo vinatokana na aina ya ugonjwa wa ndigana kali...
  4. Barabara ya Kimara mpaka Kibaha itazamwe upya, vifo vya watu kutokana na kugongwa na magari vimekuwa vingi sana

    Naanza kwa kuwasalimia wakuu. Hapa ntaongelea matukio mawili niliyoyashuhudia kwa macho yangu.. Pia ntaongelea matukio machache niliyoyasikia. Mwezi mmoja uliopita mida ya saa 11 alfajiri nikiwa napita maeneo ya Mbezi mwisho jirani na stendi ya mabasi ya Magufuli nilishuhudia mwili wa mwanamke...
  5. Wazazi wanapaswa kupewa elimu ya njia za kumwadhibu mtoto kuepusha vifo na ulemavu

    Kuna haja wazazi na walezi kupewa elimu ya malezi ili kupunguza vifo vya watoto wao wanaowaua kwa kuwapa adhabu kubwa au hata ulemavu, kuwaachia makovu na majeraha moyoni kwa kuwapiga kupindukia wakiamini wanawaonya. Matukio mengi ya wazazi na walezi kuwapiga watoto hadi kuwajeruhi zama hizi...
  6. Kutana na takwimu za vifo kwa mwaka 2022 pamoja na siku ya leo

    HEALTH 10,040,329 Communicable disease deaths this year 386,203 Seasonal flu deaths this year 5,878,813 Deaths of children under 5 this year 33,071,878 Abortions this year 239,055 Deaths of mothers during birth this year 44,005,025 HIV/AIDS infected people 1,300,169 Deaths caused by HIV/AIDS...
  7. Dar: Utata vifo vya vijana watatu, kuna nini vituo vya polisi?

    Utasikia mtuhumiwa alijinyonga. Utasikia alikimbia na pingu akapigwa risasi. Utasikia alitii bila shuruti... Sasa hawa nao ilikuwaje? 👇
  8. Takwimu za vifo na visa vitokanavyo na Magonjwa ya mzunguko wa Damu mwilini

    Kulingana na utafiti uliofanywa na WHO(world Health Organisation) mwaka 2010 kwa asilimia 12% magonjwa ya Moyo yalitoa visa vya VIFO takribani million 17.3 na inakadiliwa kwamba ifikapo mwaka 2030 kutakuwa navisa visivyopungua million 23.7 vya vifo vitokanavyo na magonjwa ya Moyo na mzunguko wa...
  9. Maandamano Iran: Vifo vyafikia 41 baada ya kisa mwanamke kufia mikononi mwa polisi kwa 'kutojisitiri'

    Nchi inaendelea kuwaka moto, watu wamechoshwa na uzombi wa kidini, na badala ya serikali kutafuta suluhu imekimbilia kulaumu Marekani na Israel kama ilivyo mazoea yao. ========= The number of people killed in Iranian protests that were sparked by the death of a woman in police custody rose to...
  10. Ebola yazidi kusambaa kwa kasi Uganda, vifo vyafikia 19

    Kwa mujibu Wizara ya Afya, hadi kufikia Septemba 24, 2022, jumla ya wagonjwa 31 waligundulika kuambukizwa na wengine wakihisiwa kuwa na maambukizi hayo, ikiwa ni ongezeko la haraka kutoka visa 7 vilivyoripotiwa Sept. 23,2022. Wizara hiyo pia imesema jumla ya vifo vilivyothibitishwa na...
  11. Bakteria Sugu kwa Dawa watajwa kuwa chanzo kingine hatari cha vifo Afrika, Tanzania ikiwemo

    Uchunguzi uliofanywa na Jumuiya ya Kiafrika ya Madawa ya Maabara (ASLM) imeonesha nchi 14 za Kusini mwa Jangwa la Sahara, Tanzania ikiwemo zinakabiliwa na hatari ya kuongezeka wagonjwa wenye vimelea wasiotibika kutokana na usugu wa dawa. Ripoti hiyo imebaini kuwa ni vimelea vitano tu kati ya 15...
  12. Vifo vyazidi kuripotiwa Iran kwenye maandamano ya kupinga mauaji ya mwanamke kisa hakusitiri kichwa

    Maelfu waendelea kuandamana kupinga kisa cha mwanamke kuuawa kwa kutokuficha nywele zake kama dini ya waislamu inavyoagiza. Wanawake wameamua kuonyesha nywele kabisa.. Iran has come under pressure since the 22-year-old woman died in police custody. Iran's President Ebrahim Raisi, meanwhile...
  13. 33% ya vifo nchini vinatokana na magonjwa yasiyoambukiza

    Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Magonjwa Yasiyoambukiza Tanzania (TANCDA), Profesa Andrew Swai amesema magonjwa yasiyoambukiza yamekuwa yakiongezeka kwa kasi kusababisha vifo vingi nchini ikilinganishwa na miaka ya 1980. Kutokana na ongezeko hilo, Serikali imetangaza mpango wa kuanza...
  14. K

    SoC02 Mfumo wa utoaji huduma za afya uanzie kwenye ngazi ya familia ili kupunguza vifo vitokanavyo na magonjwa yasiyo ambukizwa

    Magonjwa yasiyo ya kuambukizwa ni magonjwa ambayo hayasambazwi kwa mtu mwingine kwa kuwa hayana vimelea vinavyohusiana na magonjwa hayo, magonjwa hayo ni Kisukari, Pumu, Selimundu, Saratani, Magonjwa ya Akili, Magonjwa ya Figo, Magonjwa ya Moyo mfano shinikizo la damu na kiharusi. Kutokana...
  15. SoC02 Elimu ya huduma ya kwanza kwa watoto wachanga itolewe kliniki ili kujikinga na vifo vya ghafla vya watoto

    Huduma ya kwanza ni huduma au msaada Unaotolewa kwa mtu anayekabiliwa na ugonjwa au madhara ya ghafla wakati daktari anapokua hayupo karibu na kabla hajapelekwa hospitalini au kituo chochote cha afya kilichopo karibu kwa matibabu zaidi. Vifo vya ghafla vya watoto wachanga au kwa lugha ya...
  16. Kwanini vyombo vingi vya habari siku hizi vinareport sana matukio ya Mauaji na Vifo?

    Niende moja kwa moja kwenye hoja, siku za hivi karibuni kila ukiingia mitandaoni kama Instagram, YouTube, twitter, na hata hapa jamii forums, au ukiangalia channels nyingi za habari hapa Tanzania lazima ukutane na taarifa nyingi za mauaji ya kikatili au watu kujiua (suicide). Kwanini vyombo vya...
  17. SoC02 Elimu ya huduma ya kwanza kwa watoto wachanga itolewe kliniki ili kuepuka vifo vya ghafla vya watoto wachanga

    Huduma ya kwanza inamaanisha huduma au msaada Unaotolewa kwa mtu anayekabiliwa na ugonjwa au madhara ya ghafla wakati daktari anapokua hayupo karibu na kabla hajapelekwa hospitalini au kituo chochote cha afya kilichopo karibu kwa matibabu zaidi. Vifo vya ghafla vya watoto wachanga au kwa lugha...
  18. Ripoti ya TAWA: Vifo vya Tembo vimepungua Nchini

    Kaimu Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wananyamapori Tanzania (TAWA), Mabula Misungwi Nyanda amesema matukio ya vifo vya Tembo yamepungua kwa asilimia kubwa Nchini. Mabula Misungwi Nyanda Nyanda amesema kuimarika kwa ulinzi kulikochangiwa na kuongezeka kwa vitendea kazi...
  19. Gambia: Dawa za Paracetamol zahofiwa kusababisha vifo vya watoto

    Mamlaka zinachunguza uhusiano wa dawa za paracetamol za kimiminika na makumi ya vifo vya watoto vinavyosababishwa na figo kushindwa kufanya kazi baada ya siku 3 hadi 5 za kutumia dawa hizo Ingawa hakuna idadi rasmi ya vifo hadi sasa, Mkurugenzi wa huduma za Afya, Mustapha Bittaye amesema...
  20. Gambia: Dawa za kushusha homa na kutuliza maumivu zachunguzwa madai ya kusababisha vifo vya Watoto

    Serikali ya Gambia inachunguza iwapo vifo vya Watoto vilivyosababishwa na figo ndani ya miezi mitatu iliyopita kama vimesababishwa na dawa ya kushusha homa na kutuliza maumivu (paracetamol). Bado haijajulikana ni kampuni ipi ya dawa ya maumivu ambayo inaweza kuwa chanzo ambapo miili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…