Awali, Mwanachama wa JamiiForums.com alitoa wasilisho kuwa kuna changamoto ya kukosekana kwa vifungashio vya dawa na hivyo inakuwa kero kubwa kwa wanaoenda kupokea kwa kuwa zinakuwa hatarini kuharibika.
Kusoma hoja ya Mdau, bofya hapa ~ Hospitali ya Rufaa Kitete mkoani Tabora haina vifungashio...
Tunaomba msaada , hospitali ya rufaa ya mkoa wa Tabora haaina huduma ya VIFUNGASHIO kwa ajili ya kubebea dawa, mgonjwa akipewa dawa analazimika kubeba mikononi au kwenye mabox kitu ambacho kinahatarisha dawa kuanguka na kupasuka..!!
Mtu anaweza nunua dawa hadi za elfu 50, lakini akakosa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.