Hivi TARURA Mkoa wa Mbeya, kilichowafanya mkamwaga vifusi kwenye hii Barabara ya kutokea Shule ya Sekondari Sangu kuelekea Benki Kuu na kuviacha bila kusambaza ni nani?
Barabara ni mbovu mlivyoanza kumwaga vifusi tukajua mmekuja kututatulia tatizo lakini badala yake mmeongeza tatizo juu ya...