Kama we ni mwanaume mweupe, una miaka 32-35 una kazi ya kuajiliwa, mkristu,huna UKIMWI,wala UTI sugu, huna familia upo mkoa wa Ruvuma nicheki inbox tuyajenge.
Karibu nimechoka kuwa single, na uwe mu hand some.
Hii scholarship inamaana si mkopo sio? Inakuwaje mpaka uipate? Wizara ya Sayansi na Technolojia inapata wapi majina ya wanaostahili kuomba hii scholarship? Ebu wale walionufaika watujuze!
Habari za Leo wanajforum?
Tafadhari, naomba tupeane elimu ya talaka hapa jamvini. Elimu ya talaka ni muhimu sana lakini bado haitolewi vya kutosha, tangu nisome elimu yangu, sikuwahi kukutana na mada ya kutalikiana kwa wanandoa, huenda ni elimu ya watu wazima tu. Lakini hatuna budi kujifunza...
Mshiriki lazima awe mwanachama wa JamiiForums, ambapo anaweza kujisajili kwa kiunganishi hiki; Register
Mshiriki anaweza kutumia jina halisi au la kubuni ‘pseudonym’.
Mshiriki atatakiwa kutaja jina halisi endapo ataibuka MSHINDI.
Mshiriki anatakiwa kutayarisha andiko linaloelezea TANZANIA...
change
katika
kushiriki
masharti
shindano
shindano la soc
shindano stories of change
soc
soc 2024
stories
stories of change
stories of change 2024
vigezovigezonamasharti
Poleni sana ndugu zangu, naona maisha yamewapiga sana mpaka nafikiria kufungua miradi mingine niwaajiri wote.
Tuachane na hayo, leo nilikuwa kwenye bank moja nikashuhudia kitu cha kushtua kidogo, jamaa alikuwa anajaza form ya mkopo, yaani hasomi terms and conditions yeye anaoneshwa saini hapa...
Kama tunavyojua mchongo ushaanza na nimeona kuna milioni 20 za kubeba. Watu tunaotaka kuchota hizi milioni 20 tunafata vigezo kweli au mnafikiri ni kazi rahisi kuzipata?
Mtu unaandika tu ovyo ovyo kama uropoka, vigezo hufati halafu unajiwekea asilimia za kushinda!
Kuna baadhi ya Vigezo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.