Ajira kwa Sasa ni sawa na tatumzuka, ni uzalilishaji mtupu, kusoma kwa kutegemea kuajiriwa kunaongeza ufukara kwa wasomi, shahada saivi ni sawa na Bure.
Ni Bora mwanangu asomee kipaji chake na elimu ya pesa ambayo haifundishwi mashuleni.
Wanaofanya kazi Ofisi ya Waziri Mkuu, Makamu wa Rais , Ofisi ya Rais wanabidi wawe na vigezo gani au elimu gani? ajira zao zipoje?
Elimu yao au taaluma zao?
Ajira wanaombea wapi?
Karibuni tujadili tuwasaidie vijana wenye Ndoto hiyo_ kwa uwazi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.