Mahakama ya kijeshi la jeshi la polisi imewatia hatiani wakaguzi waandamizi wanne wa polisi mkoani Arusha kwa makosa matatu ikiwemo kushawishi na kuomba rushwa ya shilingi milioni 10 na kuachia madawa ya kulevya aina ya mirungi kilo zaidi ya 1200 yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 60...