Wakuu,
Katibu wa UVCCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ndugu Hussein Egobano, amewasihi vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kujiepusha na makundi ya uchaguzi na badala yake waendelee kudumisha mshikamano na umoja ndani ya chama kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Egobano ameyasema hayo tarehe 26...