Kuna vijana wanaotoka kwenye mazingira magumu lakini wanashinda changamoto na kufanikiwa maishani.
Unadhani ni nini kinachowasaidia kufanikisha haya licha ya changamoto kubwa wanazopitia? Na sisi sote tunaweza kujifunza nini kutoka kwao?
Tanzania huenda ndio nchi Pekee ambayo Wazee ndio wanapigania Taifa/ Wazee ndio wana uchunhu na nchi, wazee ndio wanao umia kuona ncji inaelekea kusiko, Huku vijana wakiwa nyuma ya keybord au wakiwa busy na Yanga na Simba na wengine wakiwa wameathirika na uchwa Pro.
Kenya vijana ndio wanao...
HATIFUNGANI/BOND/AMANA
Ni aina ya dhamana inayotolewa na serikali au kampuni kwa lengo la kukopa fedha. Mkopaji anaweza kuwa serikali au kampuni na anaekopesha ni mwekezaji.
Mwekezaji anaponunua hatifungani, anaikopesha serikali au kampuni fedha yake kwa kipindi flani cha makubaliano...
kampuni binafsi
kurithisha uchumi
serikali
uhuru wa kifedha
uwekezaji afrika
vijanakatikaujenziwataifa
vitabu uchumi
wafanyabiashara kariakoo
wapambanaji
Miaka ya nyuma kidogo kulikua na kashikashi sana katika vyuo vya elimu ya juu nchini hasa vya serikali...
Nakumbuka niliwahi kuhudhuria mdahalo pale nkruhma hall UDSM nikiwa mwanafunzi wa kidato cha tano makongo na mdahalo huo ulikuwa umeandaliwa na Tahliso chini ya Julius Mtatiro.
Lakini pia...
Tuko kwenye nyakati ambazo vijana wanawaona wazee ni washamba wasioelimika na wasiojua kitu.. Lakini pia tuko kwenye enzi ambazo kuna wazee waliogoma kuzeeka na wayafanyayo hawana tofauti na vijana.. Ila hili si la mada hii
Muktadha wa mada hii ni kuangazia baadhi ya ushauri wa wazee kwa...
Utangulizi
Katika mfumo wa elimu wa tanzania mwanafunzi anaanza kitado cha kwanza hadi cha nne, ukifaulu vizuri unaendelea kidato cha tano na sita mpaka chuo, lakini kumekuwa na uanzishwaji wa vyuo vinavyodahili wanafunzi waliomaliza kidato cha nne na kupata angalau D nne, hawa wanafunzi huwa...
Tangu kuanza kwa Karne ya 21, imekuwepo changamoto ya ajira kwa vijana wengi wenye taaluma (Wasomi) katika mataifa mengi duniani ikiwemo Tanzania. Changamoto hii imekuwa kikwazo kwa vijana wengi kutimiza ndoto zao katika maisha, hivyo wengi wao wakijikuta wakiishi maisha yasiyo endana na...