CHANZO CHA LAANA YA WATU WA UKOO WENU KUFA MAPEMA KABLA YA UZEE. UKOO WENU KUKOSA WAZEE.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Kuna baadhi ya familia au koo ni Jambo la kawaida watu Kufa kabla ya Uzee. Yaani unakuta asilimia tisini ya watakaozaliwa kwenye familia au ukoo huo watakufa wakiwa chini...
Nyumba mbili au tatu,gari mbili au tatu akiba ya milioni 200 bank inatosha sana,tena sana. Kumbe pesa haziwezi kuzuia pre mature death.
Babu yangu mkulima wa mpunga kule Kizuramimba alikufa na miaka 97.
Manji na mabilioni kafa na 49.!!!
Kaburi lake sasa,kama la bibi yangu tu
''death is not a...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.