ELIMU, VIJANA NA MAENDELEO
Sekta ya elimu imeleta mchango mkubwa katika kuendeleza na kujenga uchumi wa nchi na maisha kwa ujumla toka kipindi cha uhuru mpaka sasa. Sekta ya elimu imechangia kwa kiasi kikubwa kuleta maendeleo ambayo tunayashuhudia sasa katika nyanja zote, kiuchumi, kijamii na...