Kama mnavyojua katika maisha wapo wanaofanikiwa na wapo ambao hawajafanikiwa maana Kila ukijiangalia huna lolote, huna chochote yaani Kila ukijiangalia jinsi ulivyokuwa miaka iliopita bado uko vile vile.
Sasa kwa wale vijana ambao umri umekwenda na katika maisha haya hakuna mlilolifanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.