vijana na mafanikio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Kijana mwenzangu zingatia kuepuka kuachana na mambo haya ili ufanikiwe

    Kijana mwenzangu; 1. Hofu inamaliza Ndoto zako 2. Wivu unapoteza Amani yako 3. Hasira inaondoa Busara zako 4. Uzembe unaua Malengo yako 5. Uwoga unasitisha Ujasiri wako 6. Majivuno yanakuondolea marafiki Pia soma: Kijana kama unataka kuishi maisha marefu, zingatia haya machache
  2. Vijana wote ambao umri wenu umekwenda na hakuna lolote mlilofanya, mnadhani ni wapi mlikosea?

    Kama mnavyojua katika maisha wapo wanaofanikiwa na wapo ambao hawajafanikiwa maana Kila ukijiangalia huna lolote, huna chochote yaani Kila ukijiangalia jinsi ulivyokuwa miaka iliopita bado uko vile vile. Sasa kwa wale vijana ambao umri umekwenda na katika maisha haya hakuna mlilolifanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…