vijana na mapenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    Vijana wa umri mdogo kujihusisha kimapenzi na watu wazima chanzo ni nini?

    sio wa kike wala wakiume, wamekomaa mno. unadhani wamekomazwa na nani, wapi? Kabinti kanang'ang'ana na lizee jitu zima na kakijana kanang'ang'ana na jimama jitu zima.. Ni nini hasa chanzo cha hali hili isiyo ya kimaadili wala isiyo ya kawaida inayosikitisha sana mapenzini katika jamii?🐒
Back
Top Bottom