Wakuu, wasomi wanaomsifia mama naona wameumia bhana kuitwa chawa wanasema wao wana akili zao timamu na hawafanyi kwa mihemko.
Katibu wa vijana na uhamasishaji wa taasisi ya Samia for Us, Gerald Mandago ambaye pia ni Msomi wa chuo kikuu akiambatana na wanafunzi wa vyuo mbalimbali amesema...