vijana na simba na yanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nguvu wanayotumia vijana kwenye Simba na Yanga wangeitumia kushinikiza serikali kufufua viwanda vyote vilivyokufa nchi ingesonga mbele

    Maisha si bahati, maisha ni mikakati thabiti na mipango. Ingawa mara chache maisha huweza kuwa bahati. Binafsi nasema kuwa mtu yeyote anayeishi kwa kusubiri bahati imwangukie huyo ni tahira. Vijana maisha si bahati, sasa wasomi wa vyuo vikuu wako wengi, vya kati pia wako wengi na vyuo vya chini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…