vijana na uchaguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pre GE2025 Vijana wameanza kuamka na kuchukua nafasi yao kwenye siasa na maendeleo ya nchi?

    Wakuu, Baada ya umoja wa walimu wasiyo na ajira naona umoja mwingine wa vijana wasiyo na ajira umeanzishwa, umoja huu ukiwa unahusisha kada zote nchini ili kupaza sauti juu ya maslahi yao. Pia soma: Baada ya bomu la vijana wasiyo na ajira naona mgomo mwingine kutoka kwa kundi la vijana...
  2. Pre GE2025 UVCCM Lindi: Vijana acheni kuwa madalali wa wagombea, wanaofanya kampeni kampeni kabla ya muda kukiona

    Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Lindi kimewataka Vijana kujipambanua na kugombea nafasi mbalimbali za kiongozi ili nao wawe viongozi na sio kuwabebea mabegi Wagombea Ubunge na Udiwani. Akizungumza na KITENGE TV Katibu wa Itikadi Uenezi na Mafunzo mkoa wa Lindi, Patrick Magarinja alisema kuwa...
  3. J

    Pre GE2025 Nini sababu ya Ushiriki mdogo wa Vijana katika Uchaguzi Tanzania?

    Ushiriki wa Vijana katika Michakato ya Uchaguzi ikiwemo Kugombea Nafasi mbalimbali na Kupiga Kura ni hatua muhimu za Kidemokrasia na huchangia kuleta Mabadiliko ya Mifumo ya Utawala Je, huwa unashiriki katika Michakato hiyo? Kama haushiriki ni kwasababu gani? Kwa maoni zaidi, shiriki katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…