Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mlezi wa CCM kwa Mikoa ya Kusini na Kaskazini Unguja, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amesema kuwa CCM imejipanga kikamilifu kuhakikisha inaendelea kushika dola...
Rushwa imekuwa kikwazo kikubwa katika mchakato wa uchaguzi, hasa ndani ya vyama vya siasa. Hii si tu inavuruga mchakato wa Kidemokrasia, bali pia inazima ndoto na juhudi za Vijana ambao wangependa kuona mabadiliko chanya katika uongozi wa Vyama na taifa kwa ujumla
Katika Mjadala kuhusu Rushwa...
Mhandisi Ndolezi Petro, Waziri Kivuli wa Ofisi ya Waziri Mkuu Bunge, Sera, Vijana, Kazi na Ajira kutoka ACT Wazalendo, ametangaza nia ya kugombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Kusini katika uchaguzi wa 2025.
Akizungumza Januari 16, 2025, kijijini Nguruka, alisisitiza dhamira yake ya kushughulikia...
Sikilizeni, Nyie vijana hasa wale mnaopata nafasi za kuongoza jaribuni kukaa mbali na matendo mabaya ya rushwa pamoja na ufisadi kuna siku majina yenu yatajadiliwa kwa mema kama ilivyo leo kwa Kafulila, Polepole, Silaa na wengine.
Leo naomba mniwie radhi kwa mada hii huenda...
Yawezekana tuna elimu ya kutosha sana na tumewazidi hata watangulizi na mabosi zetu, yamkini tunafahamu mambo mengi, ni wabunifu na wenye ushawishi mkubwa maeneo fulani kulingana na nafasi, vyeo au dhamana za kimamlaka tulizopewa na mamlaka za uteuzi kwa niaba ya watanzania.
Vijana tunajiamini...
Aliye na macho haambiwi tazama,zile zama za pesa kununua nafasi ccm zimerudi
Kijana kama ulikuwa na ndoto kuwa mbunge au Diwani kupitia ccm na huna pesa sahau,kafanye shughuli zingine au tafuta chama kingine
Yaani sasa hivi ili upate ubunge au udiwani ccm kwa wale wajumbe na naamini kwa sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.