Mpaka unasoma uzi huu natumaini uko njema kiafya.
Siku hizi mjini wimbi kubwa lawatu wenye pesa nivijana. Vijana tupeni siri mnatoa wapi hizo pesa?
Sawa unaduka ila mbona umepanga kadeti chache tu alafu nje umepaki BM?
Yani unalipa kodi zaidi ya 1Milioni, umeweka mfanyakazi mzigo uliouweka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.