MITHALI 18:22
Apataye mke apata kitu chema naye ajipatia kibali kwa BWANA.
WAEFESO 5:31
“Kwa sababu hiyo, mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mkewe, nao wawili watakuwa mwili m'moja.
1 WAKORINTHO 7
Lakini kwa kuwa dhambi ya zinaa imeenea, kila mwanamume awe na mke...
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Asikudanganye mtu yeyote yule, pesa haina nguvu yeyote kwenye mapenzi. Pesa hainunui mapenzi, haijawahi kununua mapenzi. Pesa inaweza kununua ngono lakini kamwe haitoweza kununua upendo wa kweli.
Elewa kuwa pesa inagawanyika lakini mapenzi hayagawanyiki. Elewa...
Kwa siku kadhaa hapa JF pametokea na wimbi la vijana wakija na mtazamo wa kwamba ndoa si muhimu na haina umuhimu hivyo hawaoni haja ya kuoa.
Nimekuja hapa kuwaambia neno moja tu kwamba wasijifiche kwenye shamba la karanga wakifikiri hatuwaoni. Tunajua wankwepa majukumu ili waendelee kulelewa na...
Habari za juma pili wakuu, wacha leo niwakumbushe kidogo vijanajuu ya kupata wenza wanaokaa makwao.
(1) Usioe binti ambae kwenye familia yao mama ndio Kila kitu. Yaani mama ndio mwenye sauti kuliko baba, akitoa neno tu mpaka baba anaufyata.
Hapo usijaribu kusogeza pua kutaka kuoa, hiyo inakuwa...
Hello Jamiiforum, moja kwa moja kwenye mada.
Neno ndoa linachukuliwa kirahisi sana kwa sasa, na hii inachangiwa sana na Mambo yafuatayo. Mwanamme kuishi na mwanamke pasipo kuoana, almaarufu Kama sogea tukae.kwa ieleweke mwanaume huwezi kupewa heshima inayostahili kwakuwa wewe si mume kamili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.