Wakuu hii ni kweli kuwa Mahinyila amesema vijana wa CHADEMA wanafanya mambo ya kihalifu, wakikamatwa wanataka chama kiseme wametekwa na watu wasiojulikana?
Binafsi si mwanachadema ila kipindi hiki nimefuatilia michakato ya chadema kuliko wakati mwingine wowote.
Moja ya suala lililonifikirisha ni jinsi gani hawa vijana wadogo wanavyokuwa damaged na mambo yanayotokea hasa kijana Deogratius Mahinyila alipotaja kuwa alikuwa mwanasheria wa Deusdedith...
Ukisikiliza quotes za kujifariji za kijana wa CHADEMA John Pambalu kwenye Uchaguzi wa BAVICHA, inaonesha hali mbaya sana ya hawq vijana wa CHADEMA anafanya quotations za watu maarufu ambao kwa sasa wako kuzimu na hawewezi kumtia tumaini lolote huku dubwana na beberu Mbowe likiwa meza kuu...
Hili ni jambo ambalo baadhi ya Wale wengine wamenuna.
Vijana hawa wanafanya kazi hii iliyopaswa kufanywa na TAMISEMI huku Waziri wa Wizara hiyo akizunguka na Diamond huko Ikwiriri wakitafuta Eneo la kujenga Ukumbi wa Burudani.
Soma Pia:
Wito kwa Vijana wote wa Tanganyika, kujiandikisha...
Viongozi wa Chadema, mnao wateka, kuwakamata, kuwafunga, na kuwanyanyasa watu leo. Katika mazingira haya ya kisiasa, ni muhimu kutambua kwamba vitendo hivi vinaathiri sana demokrasia yetu. Kila hatua tunayoichukua sasa ina umuhimu mkubwa kwa Taifa la kesho.
Tunapaswa kujenga mazingira ya...
Mara kwa mara nikikutana nao baa wanauliza braza Idu 2025 utachukua fomu?
Idu wewe pamoja na kuwa kada wa CCM tunakukubali sana. Mimi huwa nawapa ukweli. Mimi sio kada bali msema kweli. Hoja zangu sio za kujipendekeza bali kueleza ukweli kwa manufaa ya umma.
Bro Idu mbona unabadili Kaunda suti...
Sasa ni dhahiri kwamba Uhai wa ccm uko mikononi mwa Jeshi la Polisi pekee, hii imedhihirika rasmi baada ya Jeshi hilo kuanza kuzuia Vijana wa Chadema kuhudhuria maadhimisho ya siku ya Vijana Duniani yanayofanyika Mbeya
Ifahamike kwamba maelfu ya vijana wa Kitanzania wanakusanyika Mbeya kwa...
TAYARI imebainika, woga wao ni kuzuia Mhe. Mbowe asitumie jukwaa rasmi ili kuulezea ulimwengu uhuni na wepesi wa hoja za mwana CCM Msigwa.
CCM wanatumia Polisi na Msajili ili kumlinda Msigwa, Yaani CCM wanatangaza vita kisha wanakufunga mikono ili usijibu mapigo.
Kama mnajiamini Sana na huyo...
Natoa ushauri kwenu kwa nia nzuri tu, mkitaka chukueni msipotaka endeleeni na harakati zenu, mimi nimeanza kufuatilia siasa za nchi hii wakati nikiwa form 2 mwaka 1992, enzi hizo ndio kumepamba moto siasa za vyama vingi yaani democratization process.
Hali ilikuwa moto kipindi kile, chama chenye...
Vijana hao wamevamiwa na Jeshi hilo walipokuwa wanajiandaa kuelekea Mbeya kwenye Maadhimisho ya siku ya Kidunia ya Vijana.
Taarifa zaidi zitawajieni hapa hapa Jf, Usiondoke.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.