Salaam jamiiforum
Nyuzi zangu nyingi zimejikita Kwa vijana wadogo ambao wengi hawajaoa,na ndiyo wapo hatarini zaidi kwani ni rahisi kukuta kijana mwenye miaka 30 ameteswa zaidi na mapenzi kuliko mwenye miaka 50 kwenye historia zao.
Mkikutana barabarani,wamependeza Sana, wengine wamenyoa vizuri...
Watu wanaposema ‘ndoa ya kale,’ najua wanamaanisha ‘mapenzi ya kipekee.’ Sasa, nini kinatufanya tuone kuwa kupenda Mshangazi ni jambo la ajabu? Labda ni wakati wa kufikiria upya, kwa maana umri ni namba tu!,Kwa nini tupoteze muda tukisema ‘umri ni kikwazo’?
Wakati mwingine, mapenzi ya kweli...
Hiyo kichwa inahusika
Watoto wa kike wakiolewa kaka zao wanakuja kama ndgu wengine. Cha ajabu tena katika umri mkubwa 30s wanajiachia kama mazombie.
Hii kitu siielewi na nimeshuhudia vijana kwenye nyumb a kadhaa wakiwa very free na hawajali hata dada yao akitoa milio ya kupelekewa moto wanaona...
Nina kereka sana kuona vijana wengi wa kiume kujiwekea utamaduni ambao kwangu na utafsiri kama kuongeza matukio ya kuvunja maadili ya Kitanzania ikiwemo 'ushoga'.
Siku hizi ukiingia kwenye mitandao ya kijamii mfano Tiktok Instagram au Facebook unakutana na video za vijana wa kiume wakiigiza kwa...
Kwa kuwa nchi ina wakristo wengi basi ndoa nyingi huwa zinategemewa kuwa za kiksto, kupungua kwa kasi ya kuoa kumelenga zaidi kwa vijana wa kikristo.
Ndoa za kiislam na kitamaduni vijana wanaendelea kuoa kama kawaida,
Wengi wanatumia kisingizio cha majukumu lakini hakuna ukweli, kuna vijana...
Leo nilikuwa natizama kipindi cha "funguka" kwenye channel ya east Africa Tv almaarufu kama channel 5, mada ili yokuwa ikijadiliwa kwanini vijana hawaowi au kuolewa,?,
Kwa upande wa wanawake wao walitoa maoni yao kwa wingi kuwa vijana wa kiume wanaogopa majukumu, Na vijana wa kiume walikomaa Na...
Kuna haya malalamiko ya huyu bibi anayesema vijana wanawatongoza wanawake sawa na mama zao akisema ni tabia mbaya na za hovyo! Ni sahihi kuwasema vijana wa aina hiyo hivyo?
Akizungumza kwenye kipindi cha JIRANI Mama Terry amesema vijana wengi wa kiume sasa hivi wamekuwa na tabia mbaya na za...
Wanawake tangu kuolewa kwao mpaka kuzeeka huwa hawawapi waume zao nafasi za kuwa huru na kushukuriwa.
Kwa bahati mbaya sana vijana wa kiume ndiyo wanaoongoza kwa kuwashutumu na kuwatendea vibaya baba zao.
Vijana hao husahau kuwa anayotendewa baba yao na mama yao akisihrikiana na wao, na wao...
Upatikanaji wa ndimu umekuwa adimu sana kipindi hiki na bei zake zimechangamka sana.
Mbadala wa wafanyabishara wengi wa chakula wanatumia ndimu ya unga, na ni sehemu nyingi sana kwa sasa ndio ndimu wanayoitumia.
Ndimu ya unga ni kisababishi kikuu cha kulegeza uume , hivyo kwa hii hali...
Wakuu kuna wakati mawahurumia sana vijana wetu, wanapitia hali tete sana.
Nililazimika kutoka saa 8.30 na kurudi saa 9.30.
Kila kijiwe cha boda boda nakuta vijana wamelala chali usingizi juu ya boda boda zao hata hawasikii hata mlio wa gari.
Mji umetulia hautii matumaini yoyote kwao angalau...
Ewe kijana unapoingia katika maisha tambua ya kwamba wakwe zako ndio maadui zako kwani baada ya ndoa na Sterling movie hii ni mke wako sasa naomba unisikilize kwa haya machache
1.wakwe zako wengi huamini nyumbani kwako ndio nyumbani kwao na ndugu zako sio nyumbani hivyo mkeo atatumika kama...
Kuna tatizo gani kama mfano ukiamua kumpa Mama yako Tsh 300,000/ kwa Mwezi na Baba yako nae ukampa Kiasi hicho hicho? Inasikitisha sana kuona Mzee wako ambaye alijipinda ' Kitandani' hadi Leo ukawa hivyo ulivyo na Great Thinker hapa JamiiForums unambagua Kimatumizi na Kumjali zaidi Mama. Najua...
Ukweli inatakiwa usemwe wazi kwamba leo hii jamii imesahau kabisa kuhusu mtoto wakiume ikiamini anaweza kujipambania bila hata ya kupata msaada kutoka kwa jamii inayo mzunguka.
Ni wazi kwamba Taifa lijiandae kupambana na kumuinua kijana wa kiume ifikapo 2030+
Kwasababu leo hii jamiii yetu...
Wakuu hii ikoje,
Si WhatsApp si twitter kila siku lazima nione vijana timamu kabisa kupotea wengine wanafunzi wengine wafanyabiashara.
Au mimi ndiyo naweweseka
VIJANA WA KIUME LAZIMA MUELEWE KUWA KUNA WANAWAKE WANAOWAZIDI KWA MBALI KIUWEZO IWE WA AKILI, UCHUMI NA MAONO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
NI kweli wewe ni mwanaume lakini elewa wapo wanawake wanauwezo zaidi yako. Hilo ukubali au ukatae lakini ndio ukweli huo.
Wanaume wengi hujikuta...
Hili huenda likakushangaza lakini ndiyo ukweli wenyewe. Hii hali ipo sana sana mijini, nimeshashuhudia mabinti kadhaa hasa wanaotoka familia za kati na duni wakiwa wanaishi kwa tabu sana na wazazi pindi wanaporudi nyumbani baada ya kumaliza vyuo.
Wa kwanza alimaliza SUA mwaka 2020. Akarudi kwao...
MUHIMU: Mbinu hii haitumiki kwa magurumbembe na gold diggers, ni kutwanga maji kwenye kinu.
BE HER DADDY, MFANYE AKUONE WEWE NI KAMA BABA YAKE,
Niseme tu ya kwamba ukiweza kuwa yule mtu anaeona anaendana ama kumzidi baba yake alivyo kwa vitu positive basi ni rahisi sana kumpata. ndio maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.