vijana wa tanzania

Vijana Jazz Orchestra (also known as Vijana Jazz Band or simply Vijana Jazz) is a Tanzanian muziki wa dansi band that reached its peak of popularity in the 1980s. As with many other dansi bands of the times, it was sponsored by a government institution, namely the Umoja wa Vijana, i.e., the youth wing of Tanzania's ruling party Tanganyika African National Union (TANU) (renamed Chama cha Mapinduzi in 1977).

View More On Wikipedia.org
  1. I

    Je, Elimu ya Juu ni 'DEAD HORSE' kwa Vijana wa Tanzania

    Je, Elimu ya Juu ni 'DEAD HORSE' kwa Vijana wa Tanzania Katika ulimwengu wa sasa, ambapo vijana wengi wa Kitanzania wanahangaika kupata ajira licha ya kuwa na shahada za vyuo vikuu, pendekezo la Waziri Mkuu Kassim Majaliwa la kuwahimiza wahitimu kujiunga na mafunzo ya ufundi stadi kupitia VETA...
  2. tpaul

    Diamond awatukana vijana wa Tanzania; 'wana njaa'!

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida, msanii wa muziki na mmiliki wa biashara, ikiwemo WASAFIBET, ameamua kuwatukana vijana wa kitanzania kwa makusudi kwa kuchapisha tangazo lenye nia ovu ya kudhalilisha, kutweza na kubagaza utu wa vijana wa Tanzania. Ni dhahiri shahiri kuwa amewalenga vijana kwa...
  3. DolphinT

    WAJIBU WA VIJANA WA TANZANIA

    Kwanini vijana wa Tanzania hawajadili mambo muhimu? Ni swali linalopaswa kutafakariwa kwa kina hasa tunaposhuhudia kundi kubwa la vijana likitumia muda na rasilimali zao kuwasifia viongozi pasipo kutathmini kwa kina viashiria vya moja kwa moja vya utendaji wao wa kazi unaolenga kuboresha maisha...
  4. Mpwayungu Village

    Vijana wa kitanzania ni 'Keyboard Warriors'

    Serikali ya CCM itazidi kututesa kwasababu sisi ni waoga. Taifa linajengwa na vijana sio wazee, sasa sisi tunaishia kuandika mitandaoni tu kuandamana zero Kuandamana tunaogopa, tuna fikra potofu kwamba suala la kutetea hili taifa lipo mikononi mwa Mbowe na Tundu Lissu na sio watanzania wote...
  5. trojan92

    Pre GE2025 Kwanini vijana wengi hawapendi kushiriki chaguzi hasa kupiga kura?

    Heloo wana JF Nimekuwa mfuatiliaji mzuri sana wa siasa za Tanzania na vioja vyake kwa muda mrefu. Ni kweli pasi na shaka kuwa vijana wengi hujitokeza kwenye kampeni lakini kwenye kupiga kura wengi hawaendi kabisa. Hii inathiri upatikanaji wa matokeo tarajiwa sababu wanatarajia mshindi ambae...
  6. African businesses

    Tuwaombee sana vijana wetu

    Kama Kuna vijana wanapitia hali ngumu ya kimaisha basi ni pamoja na vijana wa kitanzania. Just imagine kijana hanakwambia hana mpango wa kuoa kama ni upwiru atachukua buku Tano anakwenda kumalizia kwa dada poa na maisha yanaendelea. Vijana wengi wa kitanzania hawana vyanzo vya kimapato zaidi...
  7. mtwa mkulu

    Vijana wa Tanzania mnajiita Gen Z nyuma ya keyboard? Hawa ndio Gen Z

    Bangladesh
  8. F

    Mtaani vijana wanaharibika kwa ulevi

    Mimi ni mzee wa miaka 42 ila huwa kujichanganya, hapa nipo kijiwe hapa Dsm, aisee hatima ya vijana. Vijana wamechoka mbaya bora sisi wazee wa kati ( 40 - 55). Kijana wa miaka 20 sura imepinda ni nini hiki? Taifa hili tusipokiwa makini nguvu kazi hii inakwenda kupotea. Wadau wenzangu na nyie...
  9. Kabende Msakila

    Vijana wa Tanzania tutajifunza mengi Kenya lkn siyo maandamano na kuharibu mali

    Uvumilivu hata katika kipindi kigumu Diplomasia ya mazungumzo hata kama tumeumizwa Njia sahihi za kutafuta suluhu hata kama tumekwazika. Hii ndiyo misingi ya kujivunia kwa taifa letu. Wakati waziri mmoja anatuambia kuwa asiyetaka tozo ..... Burundi (tulitulia). Lkn pia wakati waziri mwingine...
  10. BLACK MOVEMENT

    Kiwango cha Viongozi kutowasikiliza Wananchi kiko juu kwa Tanzania kuliko Kenya

    Ni basi tu Wakenya wamepinda kama Wazulu wa South Affruca ila unapo kuja kuangalia kiwango cha Viongozi kuwasikiliza wananchi, basi Kenya kuna unafuu ukilinganisha na Tanzania, shida iko tu kwamba Tanzania ni mazeseta basi. Viongozi wamejawa sana na Viburi na Dharau sana n kebehi, nakumbuka...
  11. Utawala2025

    Vijana kipi tunajifunza kwa wenzetu kenya?

    Je vijana wa kitanzania tunajifunza nini kwa kile kinachoendelea kwa majirani zetu Kenya. Vijana wa Tanzania Tunapitia changamoto zisizotatuliwa kwa wakati. ~ AJIRA ~ MAZINGIRA MABAYA YA UWEKEZAJI KWENYE BIASHARA ~ MISHAHARA MIDOGO ISIYOKIDHI MAHITAJI KWA SEKTA BINAFSI NA ZA UMMA. PIA SOMA...
  12. Zanzibar-ASP

    Kenya wanajivunia generation Z, Tanzania tunajivunia uchawa!

    Bila shaka watu wote tumeona namna vijana wa Kenya maarufu kama generation Z walivyoitisha mtiti mzito kwa kupiga maandamano mazito mitaani ya kupinga mswada wa bajeti uliolenga kuwakamua zaidi kupitia kodi na tozo mbalimbali. Vijana wale kupitia mitandao ya kijamii pasipo msukumo wa wanasiasa...
  13. A

    SoC04 Kuelekea Taifa Bora: Hatua za Kuokoa Maadili kwa Vijana wa Tanzania

    Mmomonyoko wa maadili miongoni mwa vijana ni tatizo linalozidi kuongezeka duniani kote, na Tanzania haijaachwa nyuma. Hali hii inaweza kudhoofisha maendeleo ya taifa kwa kuathiri tabia, maadili, na utulivu wa kijamii. Ili kuepuka athari hizi mbaya na kuhakikisha taifa bora kwa miaka ijayo...
  14. D

    Nimegundua kwamba Watanzania wengi hawana ufahamu kwenye mengi hasa vijana. Elimu inapaswa iangaliwe upya

    Vijana wengi hawana reasoning kabisaa wao ni kulipuka tu kilichosemwa na wanayemuamini tu basi. Sijui ni stress za maisha au. Angalia hili swala la mpina, ukimuuuliza kijana alitolee analysis na jinsi gani analishadadia wala hajui lolote ila analishadadia tu ili mradi wengine wanasema hivyo...
Back
Top Bottom